JINSI YA KUWEKEZA KAMA MKULIMA MDOGO
Je, kuna umuhimu wowote kwa mkulima mdogo kuwekeza? Ni utaratibu upui unafaa kufuatwa na uwekezaji?Ungana nasi kwenye shajara ya mkulima tukufahamishe mengi kwenye mitandao yetu ya kijamii @Afarmers kwenye Instagram na Twitter. Tupigie simu kwenye nambari 0700293031.